carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Pick n pay 💃
✍🏽Don't be fooled....View attachment 1248178
In a world full of copies,
be an original!
.
.
Good night fam[emoji179][emoji179]
Hahah! Iliisha saa mbili asubuhi ila kuna majitu yalitambaa sio poaHangover inakupelekaje KD?
Heheh! Wewe wakishua embu usinizushie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakishua ni nyie wawili mpo vizuri
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile furaha ije tena basi
Dah umegeuka tena unatuma maandiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe pia mkuu.Asubuhi njema
Mkuu. Wewe jali kilichokuleta humu na usifuatilie sana ishu za watu. Ukiona kitu kinakufurahisha gonga likes. Ukiona kinakukera unakiacha. Humu kila mtu anaweka anachotaka. Kwa raha zake. Title ya uzi inasema weka cho chote...and yes...nimegeuka na kuweka maandiko. Kuna tatizo kamanda?Dah umegeuka tena unatuma maandiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nijuavyo mimi binadamu huwa hawauzwi !!!Hii mizigo ni bei gani mkuu..
Mapema sana shem. Mkwapua nywila yupo nini?In a world full of copies,
be an original!
.
.
Good night fam[emoji179][emoji179]
Nitakuja shem. Nilikukaribisha Koromije ukazingua eti unaogopa kushinda kwenye majaruba ya mpunga.Ukitoka huko uje pm yangu nimuone mkulima wa nyanya na dengu[emoji124][emoji124]
Hakuepukiki shemeji. Huo ndo ukweli [emoji16][emoji16][emoji16]Aiseh!
Sasa naelewa kwanini wasema kuchapiwa hakuepukiki
Pole sana SYB
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu. Wewe jali kilichokuleta humu na usifuatilie sana ishu za watu. Ukiona kitu kinakufurahisha gonga likes. Ukiona kinakukera unakiacha. Humu kila mtu anaweka anachotaka. Kwa raha zake. Title ya uzi inasema weka cho chote...and yes...nimegeuka na kuweka maandiko. Kuna tatizo kamanda?
View attachment 1248223
Usijidanganye bro....Alafu bro mwenyewe tu unayumba nakushangaa sana ila kila kitu kipo wazi [emoji3][emoji3]