Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee, hii kauli sijui aliitoa ktk mazingira gn.Huyu naye. Walimvua nguo zote na kumpa kanga tu? Kuna mambo mengine unakausha tu kwa sababu wala hayaleti mantiki nzuri kwa jamii. Pole zake
Hii hapa bro..Heard kuna Season 2 tayari lakini nimeisaka wapi sijakutana nayo
Haya shem😀😀😂😂😂😂 kuanzia saa kumi shemeji
Hahahahahahha😅😅😅😅😅
Ndama mwenyewe😅😅😅😅😅
Woiiii..Sasa SI umillionea huo jamani.Kuna jamaa yetu mmoja alifungwa kwenye gereza moja Sweden mwaka 1998.
Alifungwa miaka minne kwenye gereza linalofanana na hilo, alipomaliza kifungo alipewa tiketi ya ndege kurudi Tanzania na $ 4,000 za kuanzia maisha bongo[emoji23][emoji23]
Hii sekta upo vizuri sanaHii hapa bro..
Download Tom clancys jack ryan s02 Torrents | 1337x
1377x.to - Download verified torrents: movies, music, games, software | 1337x.org | 1337x.towww.1377x.to
Na nisivyopenda kutembea Haki ya Nani hili gereza lingenifaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ningeshinda jikoni muda wote
Na nisivyopenda kutembea Haki ya Nani hili gereza lingenifaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ningeshinda jikoni muda wote