Digo zee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 662
- 1,350
Kuna kaukweli hapa eh?!
kuna watu yanga inawakera sanaaa, lakini ccm inawafurahisha sanaaaa
moudgulf na ndugu yake myoyambendi
Sawa Hawa wanashangaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Bora mie naipenda yanga
ndio unazidi kuharibu.
numbisa na yeye anashabikia yanga na timu ya mbeya
halafu nimegundua kama itatokezea mmoja wenu ( wewe au numbisa) mukashabikia liverpool basi yeye atashabikia man utd au arsenal.
anajua hata akifungwa hamumuwezi kwa fujo lakeπππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yule Kaka yangu wa Liverpool alitaka anisumbue eti Simba wameshinda Jana.
Sasa Simba wamecheza na mbeya city halafu wanashangilia kushinda!?!
Dah Simba bhna
moudgulf unaitwa hukuuuuu.
unacheza na vilaza halafu unajisifu