moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ni sawa na Mimi Leo na ubibi wangu huu wa miaka 30 nikapigane na mtoto wa miaka miwili..
Halafu naanza kushangilia kwamba nimempiga
sasa mbona numbisa anasema umezaliwa mwaka 2000 kama karne ya 21.
kweli numbisa analazimisha uwe mpinzani wake mpaka anakushusha umriiiiiii.
leo atakoma
Ikaushie, siku imeendaje huko?Nini hiyo mzee baba, sijainyaka kabisaa
😂😂😂😂kosa langu liko wapi.
habari za sungura zinamuhusu depal kwa sababu mahari yake ni sungura 30.
cha ajabu davet amezigeuza hadithi za sungura kuwa tamthilia ya isidingo.
tokea asubuhi sunguraaa mpaka muda huu sunguraaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eeeh,
Kwani sisi wa man city tumefanya nn?
Liverpool vs Aston villa ulinganishe na Simba vs mbeya city????Mbona ulishangilia ushindi wa Liverpool dhidi ya Aston Villa?
Au unadhani timu hizo zina nguvu zinazofanama?
Simba mna mambo ya ajabuUshindi wa Simba kwenye ligi hii siyo habari[emoji23][emoji23]
Kwenye ligi mbovu kama hii Simba ikipoteza mechi ndiyo habari
Nifundishe niwe shabiki wa mpira damu.Simba mna mambo ya ajabu
So nyie juzi tu mechi ya kwanza wamewapiga vibaya[emoji1787][emoji1787]
Nifundishe niwe shabiki wa mpira damu.