Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Single mother.
Mkuu wazazi wako wameona mengi na wanaona kesho yako itakuwa ya mashaka......
1. Je baba wa mtoto yupo hai?
2. Je Anakaa mkoa huohuo na je wanamawasiliano?
3. Je wanawasiliana kwaajili ya mtoto na jibu lako kaka hapana je unauhakika??
4. Sababu zipi zilipelekea huyo binti na mzazi mwenzie kutokuwa pamoja? kama ni hali ya maisha je huyo mwamba akipata maisha mazuri huoni utaachwa katika mataa?
5. Ulikutanaje na huyo bibie? Na ulimkuta katika hali gani? Elekea ulimkuta katika hali ambayo alihitaji any man amfariji nawewe ukadhani upendo..so akiwa sawa na baba watoto akirudisha majeshi atakubwaga.
6. Je unaweza stahimili kupokea dharau na maneno ya shombo kutoka kwa huyo bibie pindi baba watoto akijirudi (je hautojidhuru?)
7. Kipi kinafanya uamini kuwa huyo mpenzi wako atakuwa the best choice among other women?
8. Upo tayari Kuvumilia na kufa ndani kwa ndani bila kuwaeleza wazazi wako pindi binti akichange na kukuacha dillema?

Nina X wangu ni kama single maza maana baba wa mtoto yupo mbali ila huwa wanawasiliana sana tu... Sasa nikiwekaga tu kipicha cha mwanamke mwingine hata kama ni birthday wishes nae atamtafuta baba wa mtoto atarecord video ataweka status na hapo unaangalia macho yake mekuuuundu na anaonesha kachoka Hahahahahaha ila huwa nachukulia simple maana naonaga kama ana mental disorder
 
Mzazi wako anakupangia wa kuoa huo ni ukoloni sana na unapaswa kupingwa kwa nguvu zote
 
Umeongea kwa kina zaidi.
Ili kujibu haya maswali, lazima utoke kwanza kwenye dimbwi la mapenzi. Atakapomaliza kuyajibu na kupata suluhisho achague either kurudi dimbwini au akaushe!
 
Walikuwa wanamkataa demu wangu ambae kwa sasa ni mke wangu dawa yao ni kupendana nao zaidi ili wakose mwanya wa kupitisha figisu figisu zao.Leo hii navyokuambia wameanza kujipendekeza kwa speed ya mwanga mixer kujiombereza ombereza na wameshakaa kwenye reli.
MKE wangu alitaka kukata tamaa nikamuambia kwani tukioana tunakaa na hao ndugu au utakaa na mimi na watoto zetu.ACHANA NAO KAMA SABABU YENYEWE HAINA MASHIKO
 
Utakuwa huna hela...ukiwa na hela hamna atakae kataa maamuzi yko ktk familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…