Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amesema tuishie hapa na mimi nimekubaliana nae tuishie hapa[emoji3][emoji3]Neema inatufundisha kuukataa uovu na kutenda mema
Sawa[emoji4]Amesema tuishie hapa na mimi nimekubaliana nae tuishie hapa[emoji3][emoji3]
Ndiyo. Mijadala mingi ya aina hii huwa haina mwisho mwema. Na nyie ni dada zangu [emoji16][emoji16][emoji16]Amesema tuishie hapa na mimi nimekubaliana nae tuishie hapa[emoji3][emoji3]
Bring back Mzee Wengaaaa !!!!UNAI Emery ana mwezi mmoja tu wa kunusuru kibarua chake Arsenal, lakini kwa tarifa zilizonaswa kutoka ndani ya timu hiyo kuna vigogo wanaoamini kumfukuza kazi Mhispaniola huyo hakutamaliza tatizo linalowakabili.
[emoji23][emoji23] haya broNdiyo. Mijadala mingi ya aina hii huwa haina mwisho mwema. Na nyie ni dada zangu [emoji16][emoji16][emoji16]
Tena dada zako haswaaa Mmoja kutoka tukuyu[emoji12]Ndiyo. Mijadala mingi ya aina hii huwa haina mwisho mwema. Na nyie ni dada zangu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
B
Bonge la menu. Mlenda mtamu
Dooh anatest mitambo ama?
Usiku mwema kwenu wakuu
[emoji124][emoji124][emoji124]
Bring back Mzee Wengaaaa !!!!
Namjua sana sis. Atapotea tu akija kuonekana hapa miziki kibao halafu kimyaaa. Hakuna cha jibu wala nini