Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afadhali na nyie mgombane tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
jana usiku nilikuwa nafuatilia comment zao kimya kimya ilikuwa ni mwendo wa kucheka peke yangu kama mwendawazimu.
moudgulf alikutana na balaa la mnyakyusa mpaka alikimbia uwanja kwa kichambo.
unaifananisha liverpool na simbaaaaaaa
 
Huyu brother hawezi kuwa siriazi.
Labda kama analinganisha rangi za jezi maana liver mara nyingi tunavaa nyekundu.
Asitake kuchanganya liver na vitu vya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyo mzee anatia aibu.
anakufanya uwe uncomfortable mbele ya hadhira.
unapendaje timu iliofungwa tanoooooo.
simbaaaaaaa
 
kwani huwezi kumfukuza liverpool.
inakuwaje analeta mambo ya kishambaaaa haliyakuwa anashabikia timu kutoka londoniiiii
simbaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikimfukuza liva nitakuwa nimemuonea ila nitamsaidia aache kushangilia timu za kishamba Kama Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…