D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
bureeeee manchester united.Muunge mkono na wewe upate vidonda vya tumbo.
Ukijumlisha na timu yenu ambayo wanagawa jezi Bure"Manchester buree"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mie moud nawatupia picha za simba za kutoshaSaint anne umeyaona matusi ya babu shimbaaaaa.
nilikwambia huyu mzee ndiye chanzo cha kuongezeka kwa ujinga kwa bwana moudgulf
Manara mwenyewe si alizimia ile siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapeli mzunguManara mwenyewe si alizimia ile siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka nishangae kwamba Hadi wewe brother unaamini kweli kwamba Simba na livapuu Ni sawa[emoji4]Mimi nilikuwa nanukuu tu kauli ya huyo mwanalivapuu mwenzio aliyesema kuwa eti wacheza rede Simba ni levo moja tu na Livapuu [emoji16][emoji16][emoji16]
hahahhaaaaaaa thubutuuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mie moud nawatupia picha za simba za kutosha
Naona amekimbia. Kumbe naye wala siyo ngangari. Kauwasha moto wa sembe na huyu Mnyakyusa naona kaelemewa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mie moud nawatupia picha za simba za kutosha
Wana mechi Leo kumbe???bureeeee manchester united.
halafu leo wanafungwa tenaaa saa 1 usiku
anajibabaisha tu.Nilitaka nishangae kwamba Hadi wewe brother unaamini kweli kwamba Simba na livapuu Ni sawa[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Gerrad naye ni wa jana tu, labda ungesema enzi za Phil Bab, David James, Mark Wright, Steve Collymore, Jamie Redknapp na wengine.
Ni zama ambazo liverpool imepiga mpira mkubwa lakini hauna matokeo ya ushindi
Picha kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mie moud nawatupia picha za simba za kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anajibabaisha tu.
si nilikwambia huyo mzee anakuogopa.
ukiondoka tu anaiponda liverpool yako
Hii Ni nukuu eeeh??"Liverpool na Simba ni level moja"
- Moud
usikose saa 1:30.Wana mechi Leo kumbe???
Wacha niandae Koo langu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thenki yu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wewe brother yawezekana midundiko ya Simba ya Jana imekuchanganya kichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata akija SYB na numbisa watakushangaa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Washabiki wa mipira nyie mnanifurahishaga sana [emoji16][emoji16][emoji16]Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwani SYB Ni mtata Sana!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
GGMUusikose saa 1:30.
hawa ndio wapinzani wakooo kwa muda mfupi
ningendako cha arusha
capitalpool mpenda code
The Happiness muuza sungura
Numbisa
Cole Williams team kirikuu
Depal mchumba wake kourt zouma
Mlishinda Sauzi. Hii ni jurisdiction nyingine [emoji16][emoji16]Si wslisemaga ile kesi tumeshinda!?
Kumbe bila ukweli mambo pia huwa yanaenda
Utashangaa mabaharia watazuka nao wote ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Offer offer...si ya kukosaView attachment 1271040