Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha[emoji23][emoji23]
Huyu tulishamfanyia utafiti tumegundua ni muhenga, amekuja liverpool kwa upepo wa Klop, wakati timu yetu inafungwa fungwa alikuwa anashabikia Chelsea[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sasa andaeitini mnamlazimisha mambo ya zamani atajuaje? Nyie nanyi vipi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
 
Hahahahaha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sana kwenye chama pendwa tushangilie ushindi usio na kikomo
Badala ya kumkaribisha kwa wacheza midundiko ungemkaeibisha kwenye timu Bora zaidi Liverpool [emoji7] ili aepukane na maumivu ya Hawa vilazafc ambayo muda mfupi baadaye anakwenda kuyapata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaha[emoji23][emoji23]
Huyu tulishamfanyia utafiti tumegundua ni muhenga, amekuja liverpool kwa upepo wa Klop, wakati timu yetu inafungwa fungwa alikuwa anashabikia Chelsea[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nitake radhi.
Cheisii ndo wadudu gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…