Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
[emoji23][emoji23][emoji23]unataka tuje kuzodolewa wwni mshamba fulani kutoka nyanda za juu na sidhani kama ameshawahi kula samaki wa baharini.
ila itapendeza zaidi kama utamfundisha kupika.
huyo mwanamke ni mshamba aliyevuka mipaka.
ngoje aje humu ndani upate kuthibitisha
MapishiiiSi ndio maana nimeuliza, hebu nitoe ujinga basi.
mpaka muda huu sijafahamu maana halisi ya wanzukiNini bana... ujue huyo mshamba Daemusin alikuwa hajafahamu kitu πππ
Poleni wakulima wote..
gwenchanah gwenchanah[emoji23][emoji23][emoji23]unataka tuje kuzodolewa ww
Poleni wasafiri wote. mfike salama
ukivuna niletee packet 3 za unga wa sembeAsante, kazi inaendelea huku shamba
Wagonjwa Mungu awaponye
mbege ndio nini?Anajua urojo tuuππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwalimu nnapata tabugwenchanah gwenchanah
humu ndani hamuna anayeweza kusimama na mimi kwenye vita ya kichambo.
tafadhali jisikie huru.
pia andaa kabisa ratiba yako ya mapishi.
kama nilivyokwambia huyo mwanafunzi ni mnyambi.
ukivuna niletee packet 3 za unga wa sembe
Salaam habari ya jioniSalaam Mkuu