Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Anne, kwema?ππππNilishajigundulia njia nzuri ya kupata siti kwenye daladala.
Navaa Dera langu,najitanda na mtandio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo, ulikua unasimamia nini?πππ[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwema kabisa ndugu yangu, habari za majukumu?
Kwa kweliHata ambao tulikuwa hatupigi kelele darasani maisha yanatukong'ota tu hivi hivi. Afadhali hata wewe ulifaudu kwa kupiga kelele darasani.
Ujenzi wa makao ya kudumu [emoji1][emoji1][emoji1]Ankoo, ulikua unasimamia nini?[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwema bradha.Anne, kwema?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ewaaa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Amen[emoji120][emoji120]Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
Ulipo sasa ni bora kuliko ulipo toka.
Yote haya ni Mungu ana makusudi na wewe.
Hakuna geni katika maisha ya mwanadamu bali kila siku ijayo imesheheni mambo mapya machoni pa mwanadamu, yapo ya kuyashinda, yapo ya kuyapokea. Muombe Mungu yawe mengi ya kuyashinda kuliko yale ya kuyapokea.
Ushindi wako sasa ndio furaha yako baadaye.....
Nakutakia miaka mingi zaidi na zaidi ukiwa na afya njema[emoji120][emoji120]
Haya anko, nikajua ulikua unasimamia uchaguzi bana.Ujenzi wa makao ya kudumu [emoji1][emoji1][emoji1]
Kwema Ankoo?
Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120]
Shwari,Kwema bradha.
Mambo??
Tatizo haushibishi.Uzuri wa mlenda ni ule utelezi wake....yaani matonge ni kutelelezeshea tu hakuna kuhangaika [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante sana Anko [emoji120][emoji120]Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
Ulipo sasa ni bora kuliko ulipo toka.
Yote haya ni Mungu ana makusudi na wewe.
Hakuna geni katika maisha ya mwanadamu bali kila siku ijayo imesheheni mambo mapya machoni pa mwanadamu, yapo ya kuyashinda, yapo ya kuyapokea. Muombe Mungu yawe mengi ya kuyashinda kuliko yale ya kuyapokea.
Ushindi wako sasa ndio furaha yako baadaye.....
Nakutakia miaka mingi zaidi na zaidi ukiwa na afya njema Kgothalo [emoji120][emoji120]
Hatari sana, sema kama huyo dada alijijua ni muathirika basi alikosea sana kutokuwalinda mabaharia.Baharia in trouble. Mabinti wanne wa JF na wote kauza mechi. Na si ajabu na mechi zingine za huko huko mtaani kauza pia. Baharia hayuko siriazi na maisha huyu [emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Haya anko, nikajua ulikua unasimamia uchaguzi bana.
Dada umeongeza mwaka??Thanks Khantwe
Wapi huko?Shwari,
Leo nilikuona bana na gauni lako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hapana usiweke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahah, kule kwa mshana[emoji3]
Au niiweke hapa?