myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaUCHAGUZI WA MWANZO JUNI 1957
Kutokana na mapendekezo ya uchunguzi wa Bwana Coutts kukhusu uchaguzi, uchaguzi wa mwanzo ulifanyika, June, 1957. Na kwa uchaguzi huo ndio wananchi wa Unguja na Pemba kwa mara ya kwanza waliweza kushiriki katika kuwachagua Wawakilishi wao wa Baraza la Kutunga Sheria la nchi yao. Uchaguzi huu ulikuwa wa viti sita. Majimbo mane yalikuwa kwa Unguja na mawili Pemba.
Majimbo sita hayo yaligaiwa kama hivi:
Unguja: Majumba ya Mawe
Unguja: N'gambo
Unguja: Kaskazini Unguja:
Kusini Pemba:
Kaskazini Pemba: Kusini
200 * 365 = 73000 kwa mwaka?
@Daemusin sunbaenim ahsante sana [emoji122][emoji122][emoji122] sikutegemea utafurahi mapema kiasi hikiKIPI KILICHO MPELEKEA BABU KUCHUKUA KHATUA KAMA HIZO
Kama nilivyotangulia kusema, Babu alikuwa na dhamiri zake ambazo alifikiria ataweza kuzitekeleza kwa kukitumilia Chama. Alipoona kuwa kila alilojaribu kulileta, halikuweza kufuzu, ndipo alipochukua khatua kama hizo na katika wakati kama huo. Babu alikhadaika kwa maneno aliyokuwa akiambiwa na hao wafuasi wake wajiitao "progressives" wakati alipokuwepo kifungoni.
Maneno waliyokuwa wakimpelekea baada ya wao kuwa wakipita wakitangaza propaganda dhidi ya uwongozi wa Hizbu, ni kuwa, "Umma wote wa Hizbu upo nyuma yako na kama utavyoamua baada ya kutoka kifungoni, ndivyo na wao watavyofuata. Ukiamua kutoka katika Chama, basi Umma utakufuata na ukiamua kubakia, nao utabakia na wewe".
Hali inatisha mpendwa200 * 365 = 73000 kwa mwaka?
niliamua kukufanyia testing bahati mbaya kwangu umefaulu.@Daemusin sunbaenim ahsante sana [emoji122][emoji122][emoji122] sikutegemea utafurahi mapema kiasi hiki
kabisa na waathirika wakubwa ni wasichana wadogoHali inatisha mpendwa
Haha sijawahi kufeli mimi weweniliamua kukufanyia testing bahati mbaya kwangu umefaulu.
nilitaka ufeli ili ubebe carry
na huyu pia hujamuacha......Haha sijawahi kufeli mimi wewe
Halafu ndio nini kuweka picha ya mchumba wangu kwa avatar yako?