Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Hao mke na watoto unawajua wewe mimi ninachojua ni mchumba wangu full stop
na huyu pia hujamuacha......
ana mke na watoto
na huyu pia hujamuacha......
ana mke na watoto
imani hairuhusu,mke na mume ni mwili mmojaHao mke na watoto unawajua wewe mimi ninachojua ni mchumba wangu full stop
Kitaeleweka hapohapoimani hairuhusu,mke na mume ni mwili mmoja
unataka kulazimisha upendo sehemu usiokuwa na uhakika wa kupendwaKitaeleweka hapohapo
Wewe una uhakika gani sitapendwa?unataka kulazimisha upendo sehemu usiokuwa na uhakika wa kupendwa
DahNilishajua mnapokwama Manchester.
Mna goalkeeper mrembo Sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nlikuwa najiuliza hivi kwanini kila siku mnafungwa!?!Sasa kwa goalkepeer huyu msipigwe kweli[emoji23]
Dah, Manchester hamsinii,, Manchester Ni bureee[emoji1787][emoji1787]
Ni suala la muda tu,tayali december tumeshaianza[emoji23][emoji23]Endelea kusubiri December.
Endelea tusubiri tufungwe. Utasubiri Hadi parapanda ikukute
Kama jinsi mnavyoisubiri Manchester iache kufungwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Imposibooo
This is livapuu[emoji91][emoji7]