Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Iko vizuri hiyoHapa ndo nnapokupendeaga hapa
Iko vizuri hiyoHapa ndo nnapokupendeaga hapa
Hizi ni ndoto za kusadikikaNi suala la muda tu,tayali december tumeshaianza[emoji23][emoji23]
Legacies hata ya kwanza sijaichungulia,ina balaa?Hii kitu[emoji91][emoji91][emoji91]
Legacies s2 iko mtaani nasubiri iishe yote nianze kuangalia
Atafanya nini sasa,inabidi aangalie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana shem
Eeh sema humo mapenz mengi sana[emoji23]Namuona prof wa kwenye money heist[emoji23]
[emoji818][emoji818]KUASISIWA KWA ZANZIBAR AND PEMBA PEOPLES' PARTY (ZPPP) Chama cha Z.P.P.P. kiliasisiwa Novemba, 1959. Raisi wa Chama alikuwa Sheikh Mohammed Shamte Hamad na Naibu Raisi alikuwa Sheikh Ameir Tajo. Makao Makuu ya Chama yalikuwa Malindi Zanzibar. Z.P.P.P. kilikuwa Chama cha wananchi wa Unguja na Pemba. Kwa Unguja hakikuweza kupata wanachama wengi kwa wakati huo lakini kwa Pemba kiliweza kupata wananchi wengi kujiunga katika chama. Misingi na dhamiri ya Z.P.P.P. ikilingana na ya HizbulWattan. Nayo ni kufanyakazi kwa pamoja Wazanzibari wote, bila ya kubali rangi, kabila au imani zao za kidini katika kugombania kupatikana Uhuru wa Zanzibar kwa ajili ya mslahi ya wananchi wote. Waongozi wa HizbulWattan hawakuwa na shaka yoyote juu ya uzalendo wa Sheikh Muhammed Shamte na wenziwe, kwahivyo walikuwa wakiamini kuwa iko siku wataweza kufanyakazi pamoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiAnaongea utafikiri Ngosha wa Sapiwi dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema TH?
Embu sema wewe jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Dawa yako ipo jikoni Hawa.Nilijua utaendelea kukaza