Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mimi mzima ,heshima yako boss[emoji137]SYB na Saint anne heshima yenu wakuu...
eti father..........Daemusin father of all avatars..
Nakusalimu..
Kwani bado yuko andaeji huyu?Sitaki kuamini kama my role model kashindwa kumuweka sawa huyu mwanae..
Huku kuwapa Uhuru uliopitiliza vijana kuna madhara sana. Tuombe Mungu iwe ni photoshop
Heshima hiyo ikurudie sabini mara sabini GT Da VinciSYB na Saint anne heshima yenu wakuu...
Ameena mkuu. Niombe Mungu azidi kuninyeeshea heri zake na hekimaeti father..........
ahsante sana
kheri ya kutimiza miaka 3 ndani ya jf izidi kuwa juu yako brother, uwepo wako umeendelea kuwa ni faida kubwa sana kwetu.
Daaaaa Dunia hii..View attachment 1278698
Dah Dogo kaharibika vibaya nakumbuka movie yake ya komfuu alikuwa fresh ama kweli madawa sio mazuri jumlisha unanii wake.
Nafurahi sikia hivo..Mimi mzima ,heshima yako boss[emoji137]
Dogo kajishikilia vizuri asianguke.
Hapana zisinirudie mara 70. Wapo wengine wengi wanahitaji pia hizo..x1 yanitosha.Heshima hiyo ikurudie sabini mara sabini GT Da Vinci
Dunia ni sehemu iliyojaa kila aina ya uchafu.