Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa kama ndoa ni mbaya hivyo kwa nini jamii inasisitiza watu waoane? Na sio Afrika tu, hata Asia , Ulaya na Marekani watu wanaendelea kuoana?
Ndoa sio mbaya dada yangu.

Bahati mbaya sana maadili yamepungua sana hadi wanaofaidi ndoa wamekua wachache.

Kuishi na rafiki yako wa dhati kama mwenzi wa ndoa ni jambo nzuri sana.

#MarryYourFriend
 
hashtag zimepotea

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuambia upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera kuwa waende wenyewe kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) ili kujua hatma ya barua ya Kabendera ya makubaliano ya kuomba msamaha na kukiri kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…