myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
leo mvua imetukumbuka kiupande wetu.11:06
Hongera kwa mvua....leo mvua imetukumbuka kiupande wetu.
hiyo mvua inaelekea kunivunjia safariHongera kwa mvua....
Ni guwd...niaje kipande hicho?Mambo ni vipi?
Huku kwema pia.Ni guwd...niaje kipande hicho?
Naona uzi umemdodea. Nina collection ya nyimbo zaidi ya 50 za Kisukuma. Nitamsaidia mleta uzi huko. Ninge na Binti Mpole bila shaka wanajua mapigo ya akina Budagala na vijana wengine....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uzi wa kushare nyimbo za Kisukuma
Bhanamhala mhu le mhola hene? Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu. Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na wakarimu. basi uzi huu unaruhusu pia makabila mengine kuweka nyimbo zilizoimbwa kwa lugha zao ili tuweze...www.jamiiforums.com
Halafu ikawaje?
Makamu Mwenyekiti. Welcome back home.