Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni timu gani hiyo tumeifunga 5?
Dah,Jana nilikuwa na Mambo mengi,hata sikufwatilia.
Sasa Kama Hawa tumewapiga 5,tunashindwa kuzifunga timu nyingine za kawaida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…