Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Jana nilitaka nikupandishe presha kama vijana wa Man U wanavyopandishwa pressure😀😀😀Bradha naomba uje hapa unipe matokeo[emoji23][emoji23]
Naona kibao kilikugeuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii Ni livapuu mzee baba[emoji91][emoji91]
Nipo mwayaUlipotea
Mimi Avatar yako imenipa kiu ya kuutembelea huo mnara.Daah hadi umenisababishia kiu kwa hii comment yako
Unipandishe presha kutumia timu yangu livapuu au kitu kingine?[emoji3]Jana nilitaka nikupandishe presha kama vijana wa Man U wanavyopandishwa pressure[emoji3][emoji3][emoji3]
Bahati yako haukuwepo.
Nendeni na nyie mkamfunge everton mabao matano[emoji3]Loserpool wamemfunga Everton kelele nyingi je wangemfunga Spurs kama sisi sijui ingekuwaje
Duh!!Haya ni maji ya kunywa mkoani Kigoma,
Wenyeji huyaita mtambo wa kuzalisha Typhoid View attachment 1282654
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1282516