Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Koromije kuko poa balaa. Njoo nikutembeze huku Nyashimo, Gamboshi na Ikungulyabashashi....

Naona unautaka ukurugenzi wa TRM wewe. Shemeji cheo chako kipo matatani huku njoo ukitetee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1282713
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu bwana Trump wa pale nsalaga uyole

Huko koromije matumizi ya smartphone yamezidi
 
Ila ndoa yako na Lizarazu itabamba mbaya. Discussion zikianza baba anaporomosha Kimalkia kikali huku ameachia siksi paki nje na wewe unajenga hoja za kifeminini kwa lugha yenye staha na mapozi. Yaani itakuwa burudani tosha [emoji16][emoji16][emoji16]
Itabamba vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa
Ila ndoa yako na Lizarazu itabamba mbaya. Discussion zikianza baba anaporomosha Kimalkia kikali huku ameachia siksi paki nje na wewe unajenga hoja za kifeminini kwa lugha yenye staha na mapozi. Yaani itakuwa burudani tosha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…