Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
DuhHii imeniumiza sana.
Dada anaeleza kuwa bei ya pedi imepanda 3500-4000.
Anasema kuna maeneo wanatumia MAGODORO yaliyo chakaa, kinyesi cha Ng’ombe na hata soksi kujisitiri wakati wa hedhi.
Ivi hii nchi inawabunge wanawake kweli? Meshindwa kuwapigania kabisa watoto wa kike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mpendwa,Toka ajifungue naona unatafuta kuchepuka 😄😄😄
Hapana sikufichwa DAlikuficha eeh...
Mambo safi, za wewe?
Jamani hata hiyo namba?Jina mbona halifanani kabisa na la mwanzo[emoji23][emoji23] daah mwandiko wa mtu unaujuaje eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya kuzaliwa D 🍾🍷🎂Hapana sikufichwa D
Mimi pia fresh sana
Hahaha haloooo[emoji2][emoji2][emoji2] bro, wakishua utampandisha presha
We sio muhenga?Mmmh wahenga tushaelewa mbona mimi sijui ni nani 😄😄😄
Aaah sawa
Mhh 😅😅😅💃
[emoji14][emoji14][emoji14]Mhh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji126]
Jamani hata hiyo namba?
Nakutania usitetemeka.Hapana mpendwa,
Usitafsiri huu utani hivyo.Mambo ni vp lkn?