carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nasikia unakabidhi nywila mwenyewe[emoji23][emoji23]Me mzima tu kwakweli...
Sherehe za Uhuru ziliharibika tena labda tuzianze upya
Bongo hakuna hosp wanafanya IVF.Ana vitu vya ajabu sana,ila sidhani kama atakuwa anaishi Bongo hii,kwamba na yeye anajikuta Baba
Kuna vitu vingine vinashindwa hata kuelezea,
Eeh Mungu atuepushe na hili janga dah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]finally king kaaachiwaaaaaa ila sasa kapaukaaaa kama mavaz mapya ya kanye west