Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ijumaa ilikuwa ya heri kabisa tunashukuru...
Bro bwana tukuiteje sasa? Jina lako gumu na refu...
Tupatie jina la utani la utotoni basi...
Ila umekaa ki Bro bro hivi..
Kwako wewe nakupa ruhusa kuniita bro, frendi, anko au jina lolote utakalopenda ali mradi tu lisiwe lenye ukakasi. Na shikamoo za heshima uwe unanipa. Tena na magoti upige kabisa mpaka chini kama mabinti wa Kisukuma wenye adabu njema na waliolelewa vizuri. Na ukitaka jina la utotoni basi niite Masalakulangwa

Wabeja [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…