Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nilikuambia sitaki kuitwa andaeitini ohooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na utafiti wangu mfupi mabinti wote katika uzi huu hakuna aliye above 25. Tena hao wa 25 ndo utakuta wanajitapa vibaya sana kuwa ni wahenga kumbe wa juzi tu. Kwendeni zenu huko!!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nilikuambia sitaki kuitwa andaeitini ohooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwembwe nyingi tu lakini andaeitini kabisa. Mhenga katika uzi huu ni mimi peke yangu. Hata ankoo nshamshtukia yule. Ubaya na mimi heshima ya uhenga nilishaivuruga yaani ni hovyo tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…