Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Kwema bro, za kwakoNingendako n Davet Cómo estás
Kwema baeBro nishaanza kuhangaika na research [emoji41]
Aiseeh!
Zamani nilikuwa najua ukiwa na umri mkubwa unakuwa na busara sana.
Baba ndo anaongea maneno kama haya,daah!
Smh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku bara mbona bado 1kg 1000nipo hapa takribani masaa mawili cha kushangaza nimeshuhudia picha moja tu ya big booty....
hard drive yako ina ukubwa wa 1MB?
kuhusu urojo huku niliko kijijini mbatata zimeadimika sana...
hata chipsi zimekuwa adimu sembuse urojo?
inaonekana huko bara hizi sherehe za krismasi na mwaka mpya mulikuwa munakula sana chipsi....
zenji imefika nyakati kg 1 ya mbatata ni 1800 -2000

wiki iliopita zilifika 2000 per kg...Huku bara mbona bado 1kg 1000
Haya mpendwa, Mungu atasaidia na mtakamilisha yote.Kiasi kidogo mpendwa bado ni mdaiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]urojowiki iliopita zilifika 2000 per kg...
leo zimeuzwa tsh 800 per kg..
pengine kesho tutaanza kupikiwa urojo na bi fatuma kibuno
Asante sana bro!! Salute na kwako piaSalute to all the fathers who are there for their kids. Nyinyi ni makuhani na mnamwakilisha Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1314356