Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amen bro. Huwa tunasahaulika kirahisi. Our babies need us...Jukumu takatifu mno [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante sana bro!! Salute na kwako pia
Ni kweli kabsa bro, ni jukumu letu kuwafanya wajisikia furaha na aman pia, wasijutie kuja duniani...Amen bro. Huwa tunasahaulika kirahisi. Our babies need us...Jukumu takatifu mno [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1314362
Umri wa wana ndoa umekaa vyema sana..The first-ever Israeli wedding of Ugandan Jews took place on Saturday at a Conservative synagogue in Jerusalem.
The bride and groom – Rivkah Nabulo, 23, and Rabbin Asiimwe, 30 – are both members of the 2,000-strong Abayudaya community, which has yet to be officially recognized by Israel.
View attachment 1314372
No that wasn't me..Kuna siku uliniwakia kwa fekero nikabaki kucheka tu hasa ukiweka neno numbu mara manumbu. Mwisho wa siku nikala ban
Ila hii imekaa vyema sana bro,inategemea na jamii husika..
kwa mfano zenji mwanamke akivuka miaka 25 anaonekana ni bibi....
mwanamme anapaswa awe na miaka 28 -32.
tunawaza kizazi....
dah ameolewa ana miaka 25 pengine atazaa ana miaka 27....
baada ya miaka 10 atakuwa na miaka 37 na mtoto wake ana miaka 10...
atachelewa kuitwa bibi na yule atachelewa kuitwa babu....
ndio fikra za walio wengi huku zanzibar
umasikini wetu wa kimaisha na hata kifikra unapelekea wengi wetu tuingie hatua ya mwisho ya kutafuta mafanikio tukiwa ndani ya ndoa baada ya kushindwa tukiwa nje ya ndoa.... kiuhalisia ni wachache sana wanaofanikiwa kimaisha moja kwa moja wakiwa ndani ya ndoa.....Unaona kabsa baba umr tayal unakuwa umeenda ili hali mtoto ndio kwanza kafikia umr wa kumhitaji baba zaidi hasa kwenye majukum mbalmbal mf.shule
Hali kubwa inayotukumba sasa hivi ni changamoto za maisha, maisha yanaenda kasi sana, kufumba na kufumbua 30 hyo bado huna kila kitu hujajipanga vizuri
Ni kweli kabsa, mwisho wa siku tunawabebesha majukumu yasiyo yao hawa watoto..umasikini wetu wa kimaisha na hata kifikra unapelekea wengi wetu tuingie hatua ya mwisho ya kutafuta mafanikio tukiwa ndani ya ndoa baada ya kushindwa tukiwa nje ya ndoa.... kiuhalisia ni wachache sana wanaofanikiwa kimaisha moja kwa moja wakiwa ndani ya ndoa.....
jaribu kuangalia maisha ya celebrities wa nchi zilizoendelea..
ulishawahi kumsikia jay z akilalamika kwa nini amechelewa kupata mtoto?
anajua fika hata akizeeka au akiondoka leo basi tayari ameshawatengenezea msingi imara familia yake yote.
hawazi hela ya shule
hawazi hela ya chakula
hawazi hela ya bima ya afya
umasikini wetu ndio unatufanya wengi wetu tuwe na fikra za kuoa mapema ili tupate watoto mapema watakaotusaidia huko mbeleni tutakapokuwa vizeee...
swadkata.....Ni kweli kabsa, mwisho wa siku tunawabebesha majukumu yasiyo yao hawa watoto..
Na hali hii inakuwa endelevu kizazi na kizazi