D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
teh tehha ha ha hizo porojo ni mimi na wewe, mke wangu kaa naye mbali
#ndoa_iheshimiwe_na_watu_wote
afadhali ninywe urojo saa hizi nikiwa nasubiri nile chakula cha usiku halaf nileNimefika,niko jikoni naaanda urojo jamani...
tokea akataliwe na yule bwege ningendako amekuwa hana utofauti na tikiti maji....ha ha ha Depal yule si ndo wameiba mashine za NIDA
ndio muda wake huuu....afadhali ninywe urojo saa hizi nikiwa nasubiri nile chakula cha usiku halaf nile
no fake msambwanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahAsante kwa ufafanuzi.
Na karibu sana katika uzi wetu huu uliojaa upendo na amani. Jisikie huru kabisa...
Ni mimi mtunza kumbukumbu wa uzi
Ngosha The Don
View attachment 1317091
✔✔i love you sooo much my love from another star...
i wish ningelikuwa malaika wa mitandaoni...
nina wivu sana nionapo picha zako zikizagaa mitandaoni..
please i canti live without you darling..
huruma mwisho msibani
View attachment 1317332
😂😂😂 bro ningendako haya maneno yana ukweli wowote au tuyapuuzietokea akataliwe na yule bwege ningendako amekuwa hana utofauti na tikiti maji....
akiguswa anatumbuka
✔✔✔✔kamanda dotto imeliii from twitteri
View attachment 1317333
itapendeza sana kama utaachana na huo uraibu wa kuangalia wakoreaUraibu wa michezo ya kubahatisha unanipa umasikini, nijitoe vipi?
Habari, bila shaka kuna wana Psychology humu naomba msaada namna gani naweza kuacha mchezo huu wa betting maana naliwa kila siku ila sikomi hela zinaisha tuu. Kila siku najipa moyo nitapata tu. Namna gani naweza kujizuia hii hali? Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
wengine wanawaza kuacha betting
wengine wanataka kuacha ulevi
wengine wanataka kuacha kujichua
daemusin anataka kuacha kuangalia wakorea.....
09/1/2020.... nimetimiza siku ya 9 bila ya kuangalia wakorea na sinema zao
✔✔✔Ta ta ta tayariiiii.....
View attachment 1317355
ngoja tuone kitakachotokezea....itapendeza sana kama utaachana na huo uraibu wa kuangalia wakorea
Ile familia ni shidaEti kwapa likatema. Jamani [emoji16][emoji16][emoji16]
Mungu Amsaidie aisee. Wazungu ni wabaguzi sana na ni lazima watakuwa wameumia sana damu nyeusi kuingia katika royal family. Angekuwa mweusi kama dada zangu wa Sudan ya Kaskazini sijui ingekuwaje...
Bongo movieHuyu binti ni nani? Ni selebriti ama?
View attachment 1317379