Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
asante sana ndugu naona hawa TRM wameisakama ndoa yetu na Ayyannawacha waseme sina budi nawe , sikhofu lawama sababu ya wewe
ungekuwa nyoka niradhi uniuwe , seuze ndege tausi wache walalame
ungekua nyoka(haijalishi black mamba), sumu yako dawa, damu husafika maradhi hupoa,
uzuri hakika wewe umepewa , siwezi kwepuka liwe litokuwa
nimefunga nia katu sibadili, hapana khatia (makosa) kupenda jamani
hiyo ni tabia, pasiwe na suali, nimeridhia na nimekubali
dedication kwa bwana harusi na bibi harusi asiyependa kuzungumza nyakati za usiku, jamani musifyatue sana hao watoto......
kunyweni urojo baadae mulale..
hizo tabia za kijitu kizima... honey geuka huku ziacheni
#hatuachani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#mtaachanatu
All the good stuff happens outside our comfort zone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#yapuuzie😂😂😂 bro ningendako haya maneno yana ukweli wowote au tuyapuuzie
Eti unathemaje?tokea akataliwe na yule bwege ningendako amekuwa hana utofauti na tikiti maji....
akiguswa anatumbuka
#my backup IDmbona huyu mchumba amefanana na depal mfuga sungura
#hatuachanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1317598
All the good stuff happens outside our comfort zone.
😂😂😂 kwamba nimeoa parody#my backup ID
Sijui 😎😂😂😂 kwamba nimeoa parody
[emoji23][emoji23]haha, kama ni Bradha mi mwenyewe niliachwa....au arudie tuDereva alikuwa Bradha kaondoa daladala bado lipo tupu kabsa [emoji23][emoji23]
Kwa hiyo tuanze kuhesabu kuanzia tatu?
Ule unywele wa TH,, sikuuona mimiKituo gani eti?
All the good stuff happens outside our comfort zone.
#ulikuwahujui[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba nimeoa parody
[emoji23][emoji23][emoji23] aise, mwenyewe TRM yakeLeo niliamua kuwa mpole sana humu ila nimeshindwa[emoji23][emoji23]
All the good stuff happens outside our comfort zone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya kurudia TH [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha, kama ni Bradha mi mwenyewe niliachwa....au arudie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tukio la lini?[emoji23][emoji23]haha, kama ni Bradha mi mwenyewe niliachwa....au arudie tu
Sent using Jamii Forums mobile app