Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shwaini zake daktari
Daktari wa Zahanati ya Lugunga Mkoani Geita Emmanuel Mpanduhi amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bukombe kwa tuhuma za kumchoma sindano nne mjamzito mwenye umri wa miaka 20 na kisha kumbaka.
•
Daktari huyo anadaiwa kumbaka mjamzito January 15,2020 saa saba mchana, baada ya mjamzito huyo kumueleza kuwa mimba yake ina miezi minne na ipo hatarini kutoka hivyo anaomba tiba ya kuzuia isitoke, akamchoma sindano na kumuingilia.
•
“Alimchoma sindano mbili mjamzito huyo, akamwambia aliyemsindikiza asubiri nje, akabaki na mjamzito chumbani akamchoma mbili nyingine kisha kumbaka,alipozinduka akajikuta amechafuka sehemu za siri na nguo ya ndani iko pembeni”-Orginess Digina, Mwendesha Mashtaka wa Polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu chukua form brother ..
Haiwezekani tuna viongozi wabovu hivi,
Kulikoni kura yangu ipotee bure,akheri nikupigie wewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jimboni kwangu liko Joka Makengeza...hakuna pa kutokea. Labda nije huko Uyole nipambane na rais wa Mbeya na mwanamke wa shoka Tulia....

#SiasaZinaWenyewe
 
.
FB_IMG_1579622044007.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa amebakwa mke wangu huyo daktari lazima naye angechezea fenesi.
Pumbavu zake[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Back
Top Bottom