myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Daktari wa Zahanati ya Lugunga Mkoani Geita Emmanuel Mpanduhi amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bukombe kwa tuhuma za kumchoma sindano nne mjamzito mwenye umri wa miaka 20 na kisha kumbaka.
•
Daktari huyo anadaiwa kumbaka mjamzito January 15,2020 saa saba mchana, baada ya mjamzito huyo kumueleza kuwa mimba yake ina miezi minne na ipo hatarini kutoka hivyo anaomba tiba ya kuzuia isitoke, akamchoma sindano na kumuingilia.
•
“Alimchoma sindano mbili mjamzito huyo, akamwambia aliyemsindikiza asubiri nje, akabaki na mjamzito chumbani akamchoma mbili nyingine kisha kumbaka,alipozinduka akajikuta amechafuka sehemu za siri na nguo ya ndani iko pembeni”-Orginess Digina, Mwendesha Mashtaka wa Polisi
Jimboni kwangu liko Joka Makengeza...hakuna pa kutokea. Labda nije huko Uyole nipambane na rais wa Mbeya na mwanamke wa shoka Tulia....Mwaka huu chukua form brother ..
Haiwezekani tuna viongozi wabovu hivi,
Kulikoni kura yangu ipotee bure,akheri nikupigie wewe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeh!!
Daktari wa Zahanati ya Lugunga Mkoani Geita Emmanuel Mpanduhi amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bukombe kwa tuhuma za kumchoma sindano nne mjamzito mwenye umri wa miaka 20 na kisha kumbaka.
•
Daktari huyo anadaiwa kumbaka mjamzito January 15,2020 saa saba mchana, baada ya mjamzito huyo kumueleza kuwa mimba yake ina miezi minne na ipo hatarini kutoka hivyo anaomba tiba ya kuzuia isitoke, akamchoma sindano na kumuingilia.
•
“Alimchoma sindano mbili mjamzito huyo, akamwambia aliyemsindikiza asubiri nje, akabaki na mjamzito chumbani akamchoma mbili nyingine kisha kumbaka,alipozinduka akajikuta amechafuka sehemu za siri na nguo ya ndani iko pembeni”-Orginess Digina, Mwendesha Mashtaka wa Polisi
Aiseeh![emoji41][emoji41][emoji41]
#Unaniachaje
#hataMimi
#FreeSoul
Kwani iko nini..?[emoji2088][emoji2088]
Sad news...nimesikitika juu ya hili tukio
Hivi kweli dunia ya leo iliyojaa kila aina ya wanawake(tena idadi ya wanawake ni kubwa tofaut na wanaume)bado mtu unabaka?
Halaf mjamzito sasa,hata kama ni iman za kishirikina hii sio
Waongezwe mshahara.....
JOSE Mourinho ni mtu wa matumizi. Hajawahi kuwa mtu anayejifikiria mara mbili linapokuja suala la ku-fungua pochi kufanya usajili wa maana kwenye mchezo wa soka.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jambo hilo linamfanya Mreno huyo kutumia Pauni 1.3 bilioni kwenye usajili tangu alipoanza ukocha, huku ikiwa ni zaidi ya Pauni 300 milioni kwa kocha anayemfuatia katika matumizi ya pesa ya usajili.