Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mwenye uzi huwa ananusa kidogo kisha huyooo[emoji2211][emoji2211]
Sent using Jamii Forums mobile app
What is this??- I'm 71 years old. I have dated close to 100 women in my lifetime. And here's what I can tell you; short women are evil. Spread the word and save a life.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini?hakuna watu wanaojiona wajanja kama wale wanaotumia linux operating system.
Mwamba[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Amebadirisha kila kitu ndani EPL na UCL.
Wanaoteseka waruhusiwa kuendelea kuteseka[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1335599
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatoliwa huyo. Wanyama nao wanaakili wanapambana na vikongwe sio madogo kama hao.Hata hakajaweza kusimama jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1335985
Nida bado hawajanipa I'd.[emoji23][emoji23][emoji23]Weka ushahidi wa nida. Ukiweka natuma picha yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
KumbeWANAMUITA KICHWA KINACHOTEMBEA BILA PASSPORT. - Jina lake halisi anaitwa Oladee kijana mzaliwa wa Nigeria ...kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Ilorin kinachopatkana eneo la Kwara nchini Nigeria Mwaka 2009 Oladee alipata mkasa mkubwa ambapo badae mkasa huo ukamfanya kuwa mtu maarufu sana duniani - Mwaka 2009 alipewa kiasi cha Naira200 na bibi yake kwa ajili ya kununulia mahitaji ya chakula cha usiku.... ikabidi aongozane na rafiki yake kwenda sokoni kwa ajili ya kufanya manunuzi hayo.... lakini wakiwa Njiani walipita sehemu ya kucheza kamari/ bet na rafiki yake akamshawishi ili waizalishe ile hela N200 Kwa bahati mbaya hela yote waliyopewa ikaliwa kwenye kamari (bet), hiyo ndio hapo sasa bwana Oladee alipoanza kulia ili arudishiwe hela yake - Alilia kwa hisia kali sana akikumbuka nyumbani bibi yake atamwadhibu hivyo alijaribu kumsawishi aliyemla arudishe hela yake bila mafanikio Kwa sasa Oladee yupo chuo kikuu na bado anajishughulisha na kuchekesha na kurekodi video fupi fupi..... lakini analalamika kuwa hafaidiki na kile kinachotumika mitandaoni hata WhatsApp anatumika kama stickers lakini hakuna anachofaidika nacho Watu wanamwita kichwa kinachotembea bila passport kwa sababu picha yake hii imesambaa dunia nzima na watu wanai edit kwa kuifanyia vituko..View attachment 1335522
Nimemuona mitaa fulani leo nikamshtua akasema eti yuko bize na shamba [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]
Mnunulie tu acha kuvunga basi mwamba[emoji16][emoji16]Mkatalunya ni Davet Mishil
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa wameshapitiliza aisee
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16] ipo, tofauti ya hii lakini
[emoji23][emoji23][emoji23]
#huuniubaguzisasa
#siopoa
Mnunulie tu acha kuvunga basi mwamba[emoji16][emoji16]
PoaMambo Stella
Nenda comment ya 51734 uzi ule mwinginePoa
Kwanini Jana ulinikaushia nimekuita Sana humu Hadi Koo likanikauka
Sent using Jamii Forums mobile app