buwaaahahahahahaahaha
Na mm nimeona kuna uzi umeanzishwaAisee nasikia huu uzi umeufikia na kuufunika ule wa makapuku forum.?!
Hata kama hiyo Malaria haijapona sawasawa usikosekane humu. May be Kichwa akipata mwingine ndiyo kidogo utaweza kupumua. Kama unavyoona he is relentless.Daaah inaonyesha Niki miss tu humu kwa hizo figisu zako uta ni out Smart no way...
Huo maji yakiwa mengiHivi huo ndio ulioungua!?
😀😀😀
Nahisi kuna nyimbo ben anataka kutoa
Kumbuka kutoa likes kama utaratibu wa huu uziAisee huku ndio likes zinamwagwa kama njugu[emoji3] [emoji3] [emoji3] by the way rudi kule bna long time mdau jmn