Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Afadhali hata wewe unaye huyo mfokea watoto. Mimi sina hata mmoja ambaye leo hii nikizima eti atakuja kuleta habari humu. Na uzee huu nilionao na mada zangu za kijinga humu hata mtu angekuja kusema ukweli watu wasingemwamini...
ila BAK ni mdau wa zamani sana humu ndani tokea kuanzishwa kwa JF, inawezekanaje kukosa marafiki watakaoweza kufahamu taarifa zake.
BAK ndiye mbowe
Afadhali hata wewe unaye huyo mfokea watoto. Mimi sina hata mmoja ambaye leo hii nikizima eti atakuja kuleta habari humu. Na uzee huu nilionao na mada zangu za kijinga humu hata mtu angekuja kusema ukweli watu wasingemwamini...
unaguna kama umekula mapera
Wakazi wa Buza wanaonewa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1352289
Mkuu uwe unaandika na location
itakuwa walikufanyia makusudi....Mimi nashukuru ninaye/ninao ndugu wa damu wanajua I'd yangu ingawa hawajui kama nimeweka kambi kwenye uzi huu, maana hawafiki huku.
Kuna siku niliwasikia wakiuponda uzi huu tukiwa kwenye vikao vya familia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaishia kucheka tu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi 2020 - Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...www.jamiiforums.com
nimekumbuka kipindi cha mchakato wa katiba tume ya warioba walipokuja zanzibar mchakato mzima uliingiliwa na wanasiasa (CCM na CUF)
kila chama kilikuwa kinatafuta vijana watakaoweza kuzungumza mbele ya hadhira (unahakikishiwa chakula na hela ya matumizi kwa upande wa chama cha -------)
kuna baadhi ya maeneo tume ilishindwa kukusanya maoni ya wananchi kutokana na vurugu..
kila chama kilihitaji wazungumzaji wao wakae mstari wa mbele...
akisimama ccm: tunataka serikali mbili kuelekea moja
akisimama cuf: muungano wa mkataba
mpaka wakusanyaji maoni wakawa wanashangaa " hivi hawa wahuni hawana mahitaji mengineo kwenye katiba pendekezwa"
welcome to zanzibar jamani
muda wa siasa unakaribia
ukichanga vyema karata zako utapiga hela
ukijitia wehu utapigwa mpaka uchakae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sina hata mmoja so mkiona kimya mwezi mmoja mjue parapanda ishaliaMimi nashukuru ninaye/ninao ndugu wa damu wanajua I'd yangu ingawa hawajui kama nimeweka kambi kwenye uzi huu, maana hawafiki huku.
Kuna siku niliwasikia wakiuponda uzi huu tukiwa kwenye vikao vya familia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaishia kucheka tu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
mrisho ngassa alipokwenda west ham alipewa kuku mwenye ukubwa kama wa huyo ndege akashindwa kula wote.Mabawa madogo hayakuzuii kupaa” Waweza kuwa katikahali ngumu kwa sasa ama mambo yako hayaendi lakini ukiwa mtazamo chanya juu ya yanayojiri kwenye maisha yako lazima utapaa tu na kusonga mbele. Tunakutakia jioni njema
waimbaji nyimbo za msiba tutakuleteaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sina hata mmoja so mkiona kimya mwezi mmoja mjue parapanda ishalia