myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku wa kula...
I miss you too toto[emoji24][emoji24] I miss you
Mweeeh!! 😂😂😂😂marehemu alikuwa ni rafiki mzuri wa bibi hansi mtanashati
waitikiaji kiitikio :mhhhhhhhhh beti imekosewaaaaa
Hakuwa na ushahidi. Aliileta kama tetesi.Ina maana aliyefuta huo uzi anajua mahali alipo au aliyetoa huo uzi hakuwa na uhakika na habari yake.
Nijuavyo kufa ni faradhi kwa kila binadamu, cha msingi unapotoa habari ya aina hiyo ni vema uwe na ushahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliuawa kinyama sana. Sasa wanaenda kukutana laivu...Robert Ouko, tungali tunakukumbuka.
Waliokatiza uhai wako Mwenyezi Mungu mwenyewe anajua cha kuwafanya View attachment 1353703
Sent using Jamii Forums mobile app