ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nashukuru nipo poa sana mpendwa, Jua kali tu mpaka kutoka nje nashindwa
Wakishua kwenye ubora wako mimi nakomaa kuuza nguo na jua langu
Inabidi tuisherehekee hii siku brother.
Mambo ni ajeMrembo Carba
Mkono mzuri kama ule haiwezekani makazi yawe ya Uswahilini kwetuHahah! Yamekua hayo tena mpendwa?
Nilikua nakutania tu bhana ata mimi natoka sana huku Uswahilini kwetu
Alinifunza kusimamia katika kile unachoamini na kukipenda, Idea ni mali kuliko Pesa pia kutokata TamaaMr. Moon
πππHii panya inaimba jazz vizuri sana