Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli...
 
Post haina shida, post ipo kwa nia ya kutoa mafunzo kwa wavivu wa shughuli za kitandani.
SYB analalamika maana post zake za misambwanda zilipigwa vita na baadhi ya memba, kwahiyo hao memba wanajitetea.
Vinginevyo mi binafsi nipo sahihi kila upande.
Dhumuni la sheria juu ya katazo la kuquote posts kama hizo asubuhi au mchana lilikua ni nini bro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…