ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nipo mpendwa wewe umeususa uzi wetu
Nipo kipenzi..sijaususa napitaga tu kimyakimya dearNipo mpendwa wewe umeususa uzi wetu
Unaweza kupata mchumba na usiweze kupata unyumba mwema
Hivi unyumba huwa ni nini bro?
Kuvunjikwma kwa nyundo siyo mwisho wa ujenzi.
Furaha inaendeleaView attachment 1380062
Asante bro 🙏.....Unyumba ni ngono ya wanandoa, unyumba haupatikani kwa mchumba wala mchepuko
Sent using Jamii Forums mobile app