D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
AiseeUsiku wa shangweView attachment 1387490
Nachangamsha uzi wa like π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah!
πππMASHABIKI wa soka wa Tanzania wanaofuatilia Ligi Kuu ya England (EPL) wamekatwa stimu kwani ule mkeka waliokuwa wamepanga kuukweka kwenye gemu ya Man United dhidi ya Jose Mourinho na chama lake la Tottenham Hotspur, watakwama baada ya ligi hiyo kusimamishwa.
kwetu ni asubuhiJioni inaaga
Unataka nichoshe watu kusoma makala yenye sifa za huyo mrembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watoa likes
Hivi badala ya mahangaiko yote haya wanayohangaika kwa Nini wasifunge mipaka kwa muda?Kuna mambo yanafurahisa sana
Smh!!View attachment 1388162
Nilimuona mtoto kabanwa na zipu aiseeh!Kama huvai nguo ya ndani ndio yanatokea haya, mara nyingi watoto ndio wanabanwa sana
Hahah! Huyo alkuwa anachangamsha uzi
[emoji2296][emoji2296]Unataka nichoshe watu kusoma makala yenye sifa za huyo mrembo?