The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
HahahaahSitakosa hiyo mida...
Mnategea mida network inasumbua ndio mnajurusha na kufuta shwaininyie...leo siachwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa nchi yetu Tanzania.
Tuna utani sana na Corona..tukiongozwa na wakubwa wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema MimiKaweka emoj na nusu [emoji3][emoji3]
Hii picha juzi ilitaka kusababisha nizimie kwenye daladala kwa kichekoView attachment 1389059
CoroNana [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji443][emoji443][emoji443]Parapanda italia parapanda...[emoji445][emoji445][emoji445]
Marehemu alikuwa papaa/bilionea wa madini na makampuni ya utalii. Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa. Jina lake lihimidiwe [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ankooo[emoji23][emoji23][emoji23] naona siku hizi unawaotea vijana..Sitakosa hiyo mida...
Mnategea mida network inasumbua ndio mnajurusha na kufuta shwaininyie...leo siachwi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 kama lini kwani umewai kunionaUmemfichia Tender Lips
#nilisahauUchebe
#semaleohujaukatavizurikamasikuile
Aisee sifa kabla ya picha.... hivi kuna mwanaume mzuri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujio wako unanikumbusha kipindi Anko TH anafika huku, yaani maparabo ya kiupweke upweke, kujinyong'onyesha kwingi hadi kijana wa kipare Bradha akajitolea kumpokea kwa faraja...
Isingekuwa tabia za Davet kudandia dandia bila hata kusoma vibao labda leo hii tungekuwa tunafurahia mengine...
Karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] TRM
Bado umeficha lips[emoji7][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23] kama lini kwani umewai kuniona
Haha
Kwenye deals tu, nitakutafuta