Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaamini kuwa kuziba mipaka ndiyo kungezuia ugonjwa usiingie? Labda kama kupunguza sawa....

Marekani walizuia mapema watu wote kutoka China lakini wengi wanaokuja nao ni raia wanaotoka huko nje. Hata huyu wa kwetu ni raia kaja nao....

Nilikuwa nategemea jibu lililoshiba kidogo kutoka kwako Mama Mchungaji [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kungezuia ndiyo.
Wangezuia kila mtu akae alikokaa huu ugonjwa usingefika.

Na assume huu ugonjwa ungekuwa umeanza Africa..mabara mengine usingefika kabisa.
Umetupata kwa tamaa zetu na njaa zetu za kijinga.

Namalizia na Hosea 4:6 Kama sijakosea
Watu watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Ni ujinga Sana kuandaa mazingira ya kujenga ukuta badala ya kuziba ufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…