Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Sympathy seekers...
😂😂😂😂😂😂
Nakuja kujitolea....Hata mtu wa kunianzishia sredi humu hakuna aisee. Dah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kila nikisimama dirishani na kuliangalia jengo la Mloganzira najikuta nguvu ya miguu yote kuisha.
Sijui tu nawaza nini lakini huyu corona anaweza kumfanya mtu afike tamati ya kuona misambwanda ya duniani...nitaenda kuiona wapi maskini mimi.
Mungu nilinde niendelee kuusifu uumbaji wako hadi hapo mwana Kondoo atakapo rudi tena duniani[emoji120][emoji120] japo nae mwana Kondoo namuombea achelewe kurudi ili anipe nafasi ya kuinjoika na mema ya dunia... "Kizuri kula na mwenzako" asema(ila hayo ni maneno yangu) Bwana wa majeshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waheshimiwa kweli...inaonekana
Kijijini tulikuwa tuna yagonga gonga kwa style ya ka....ro, linakuwa linajitoa kwenye mashavu yake na kujitokeza nje kichwa chake na tumanyoya pembeni yake... Ilikuwa raha kwelikweli hasa baada ya kukatika mvua kuna vimaji maji vilikuwa vinatoka ndani...
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ila sikuambiwa nitoe maelezo yote hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine wajifunze kutii Sheria bila shuruti.