Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Ngoja wascore vizuri SasaLakini si ndiyo wanascore political points?
Mianasiasa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Wacha na hili tulifanye hivi hiviTukana tu ili utoe nyongo mwilini....
Usijilinganishe na hawa wakubwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa walipoona ugonjwa umeanza badala ya kutumia vipimo vya Wachina/Wakorea/Wajapan waliamua kutengeneza vya kwao. Wana tabia hiyo. Safari hii kumbe vipimo walivyotengeneza vilikuwa na hitilafu. Ndipo hapo moto umewaka unamuona rais wao anahaha sana kwa sababu watu wanahisi kuwa kosa hilo limesababisha madhara makubwa kwa kutojua walioambukizwa tayari...imebidi watumie vya Wachina japo na vyao wanasema viko tayari.
Sisi hatuko siriazi katika karibu kila kitu tunachofanya. Kwa nini ulitegemea tuwe makini katika hili wakati mambo mengine yote tunayafanya Kiswahili swahili tu?
Numbisa[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aki ya Nani
Wewe Leo Ni wa kuniambia dunia duara..subiri,baadaye tu utapitwa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi ina mambo ya ajabu sanaSasa hv ndio utasikia mipaka inafungwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka sana