Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tena nchi hizo zimejaa wazee mpaka zingine zina negative population growth na wazee ni wengi kuliko vijana kwa sasa. Wazee wamegeuka kuwa mzigo mzito wa kiuchumi kutokana na gharama kubwa za kuwatunza mpaka kuna watu wanaosema ugonjwa huu ni kama neema kwa sababu utazipunguzia nchi hizi mizigo hii ya kiuchumi inayohusiana na matunzo ya wazee...Ni kweli mkuu. Wazee wengi kuliko vijana na pia afya zao zimekwishadhoofu ndio maana vifo vingi.
Umeanza. Kama siyo kasomi vile. Statistics 101 (mean, range, median...mengine sikumbuki [emoji16][emoji16][emoji16])
Ndiyo. Nadhani average ya umri wa waliokufa China ni miaka 69 kama sikosei japo pia lazima kuna vighairi kwa sababu afya za watu ni suala tata; na wakati mwingine mtu anaweza kuwa mgonjwa wala asijue. Ugonjwa huu ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo, kisukari na hata BP...na yote haya mtu unaweza kuwa nayo na usijue andaeitini ukajikuta unaondoka.
Italia pia nadhani wastani wa waliokufa ni 70+. Marekani pia umeua wazee wengi waliokuwa kwenye nyumba za kulelea wazee kule Seattle na marehemu kijana ana miaka 64.
Siku hazigandi.
Endelea kuomba Mungu siku nikipanda Uber na wewe uwepo..maana utakapoachwa tu nitakusimulia Hadi utoe machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Subirini tu kufa kama mende[emoji23][emoji23]
Acha tu tukufwe[emoji23][emoji23]View attachment 1390261
Mambo yanazidi kuwa mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!Hili tukio la Asteroid ndio tutegemee kuokolewa na wamba kama Bat man, Spiderman, Hulk, Herry Potter, Superman, Wakanda, Captain America, Wonder woman na wengine wengi kama Ben 10
Amina ankoo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Shwaini zake anafikiri ile ni kazi nyepesi kwa balance ya mguu mmoja.
Aendelee kulea wajukuu tu. Kigilagila sijui ndio hali ikoje kama utakuwa umewatembelea?
Mungu ni mwema tuendelee kumtegemea kwa kila jambo [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya siyo maneno ya kufarijiana. Mimi simfariji mtu. Nasema tu wanasayansi wanavyosema kuhusiana na huu ugonjwa.Badala ya haya maneno ya kufarijiana kwanini tusingefunga mipaka mapema.
Kwani wazee wao hawana umuhimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea sana shemeji...Subirini tu kufa kama mende[emoji23][emoji23]
Hiki ndo nilichokuwa nasema mimi.
Umeanza. Kama siyo kasomi vile. Statistics 101 (mean, range, median...mengine sikumbuki [emoji16][emoji16][emoji16])
Ndiyo. Nadhani average ya umri wa waliokufa China ni miaka 69 kama sikosei japo pia lazima kuna vighairi kwa sababu afya za watu ni suala tata; na wakati mwingine mtu anaweza kuwa mgonjwa wala asijue. Ugonjwa huu ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya moyo, kisukari na hata BP...na yote haya mtu unaweza kuwa nayo na usijue andaeitini ukajikuta unaondoka.
Italia pia nadhani wastani wa waliokufa ni 70+. Marekani pia umeua wazee wengi waliokuwa kwenye nyumba za kulelea wazee kule Seattle na marehemu kijana ana miaka 64.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naku block kwa muda
Sitaki stress mimi
On a serious note wanasema kuna mzinga wa jiwe unakuja kuipiga dunia 2029. Uwezekano wanasema ni asilimia 75 japo imefanywa kuwa ni siri kubwa....Hili tukio la Asteroid ndio tutegemee kuokolewa na wamba kama Bat man, Spiderman, Hulk, Herry Potter, Superman, Wakanda, Captain America, Wonder woman na wengine wengi kama Ben 10
Wabongo sisi noma sana. HATUPOI yaani [emoji16][emoji16][emoji16]Ningekuwa Chuga nahisi ningekuwa na hawa jamaa [emoji16][emoji16]View attachment 1390393
Natamani kabla haujafika huku uanze juu huko.Subirini tu kufa kama mende[emoji23][emoji23]