Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kinyesi cha mamba ndiyo dawa ya uzazi wa mpango ya kwanza kabisa duniani. Ilitumika Misri miaka 2000 K.K. Kinyesi kikavu cha mamba kilikuwa kinawekwa ukeni, kinaachwa kilainike ili kutengeneza kizuizi kwa mbegu za kiume kuingia kwenye yai la mwanamke. (MedicineNet)
 
Mtu mdogo zaidi kuwa papa wa kanisa katoliki ni Papa Benedict IX, alipewa upapa akiwa na umri wa miaka 12 tu mwaka 1032. Alipewa upapa na baba yake ambaye alikuwa na nguvu kubwa nchini Italia kipindi hicho. Benedict IX anatajwa kuwa mmoja wa mapapa wabovu zaidi kuwahi kuongoza kanisa. Alikuwa papa kwa vipindi tofauti vitatu ndani ya miaka 14, akipinduliwa mara 3 zote. (Insider)
 
Nahisi kama mwisho wa dunia tuliokuwa tunausubiri miaka mingi ndio ushafika. Maana kila nchi sasa inajifunia ndani kujilinda. Sasa hivi ukiona mtu anasafiri ujue kweli anaulazima wa kufanya hivyo na sio for leisure kama ilivyozoeleka.
Hapana haipo hivyo bro hii Dunia bado haijafika mwisho, hayo ya watu kijifungia ndani ni swala la muda tu yatapita na kila kitu kitarudi kama zamani
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…