Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
AhsantePole
Mh!!Sisimizi hupumzika kwa dakika 8 tu katika kila masaa 12 anayofanya kazi. (Guardian)
ππ mimi pia nimependa hiyo packaging kwakweli, sijui radha yake ipo vipi tuWatu wako fasta
Hiyo chupa ya virus inavutia
Kwani ni usumbufu kutongozwaSiwajibugi mbovu mimi, ila matendo tu utakaa unisumbue sumbue hovyo
He!.....Yes...nilikuwa Mount Meru Hotel napata dinner
πππππππmbona watu wangeadimikaMara dawa ya corona ni kumeza sperm.
#nilikuwepo
#LaleniSalama
Nimeona bro π....... Wataalamu wetu wafanyiwe wepesi katika haya mapambanoHili jiwe wamelipachika jina la Apophis na watu wa conspiracy na wanaoamini katika unabii wa kitabu cha Ufunuo katika Biblia wanaamini kuwa jiwe hili litaitwanga dunia mwaka 2029 na NASA wanajua japo wanaficha. Eti ndiyo sababu iliyomfanya Trump kuunda tawi jipya la jeshi la Marekani linalojihusisha na mambo ya anga za juu pekee. Eti tayari kuna kitengo kinachohangaika kuona nini cha kufanya ikiwemo kurusha vyombo vyenye mabomu ya Nyuklia na kwenda kuyaripua karibu na jiwe hili ili kulifanya lisogee kidogo kwenye njia yake na kuwa mbali kidogo na dunia ili litukose kose huo mwaka. Mwaka 2004 lilipita kwa mbali kidogo na hata likitukosa mwaka 2019 likija kurudi tena kwa hakika halitaikosa dunia....
Elon Musk: "A big rock will hit Earth eventually"
Sana. Binafsi sipendeleiKwani ni usumbufu kutongozwa
HahaHe!.....
ππππ hadi mliopo hapa familia moja jamani mngetukimbia?πππππππmbona watu wangeadimika
Jirani ukiwepo mambo yanaenda sanaπππPole
πππ na wao wataDO the same[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake tutapona
Wanaume je?[emoji848][emoji848]
Doh![emoji22][emoji22][emoji22]Jamaa tayari anakirusi View attachment 1390432
Jirani bhanaJirani ukiwepo mambo yanaenda sana[emoji23][emoji23][emoji3]