Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Kabisa Bro Mungu ni Mwema sana na nashukuru kwa maombi kweli nuru inaonekana, maombi pia na upande huo yote yawe sawa

Mungu akazidi kutupa nguvu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Fikiria jiwe lisage eneo karibu lote la Dunia, kisha umebaki pekee barani Afrika na watu wengine wawili wabakie bara Asia.
Hali itakuwaje
 
Kumbe kina dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Matibabu yake (japo si ya kuua kirusi chenyewe bali kupoza athari zake) ni sawa sawa na mtu mwenye pneumonia. Kuhakikisha kuwa mwili unapata oksijeni ya kutosha, maji mengi na dawa za kupunguza homa pamoja na antibiotics kuzuia maambukizi zaidi kwenye mapafu. Na kutoa liquid kwenye mapafu kama ikitokea mapafu yakajaa maji...
 
Ina maana kinakuwa kinaendelea kuishi ndani ya mwili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
babu umeshazeeka
 
Yaan me siwezagi kumaliza nusu saa sijajishika usoni...naelekea kupata mateso
Kuna seneta hapa alikuwa kwenye TV akitoa nasaha watu waache kujishika usoni hovyo hovyo kumbe jamaa wanamhesabia. Hotuba ya dakika tatu alikuwa keshajishika usoni zaidi ya mara tisa na mara tatu alilowesha kidole chake kwa ulimi ili afungue hotuba yake na kuendelea kusoma. Sasa hivi kageuka meme tu inatrendi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haijailshi hreufi zipo kewnye mpnagliio gani, cha mhuimu ni hruefi ya kawnza na ya miwsho tu ziwe saihhi.
Mtu ataosma vziuri tu kwa sbaabu huwa tnuasoma neno zima siyo hreufi moja moja. (Cambridge University)
Kati ya tafiti zako zooooote huu ndiyo utafiti ambao naukubali kwa moyo wote kabisa kabisa gete gete [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…