myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nimeisikia hii nikaishia kucheka tu mwenyewe. Wamemaliza toilet papers zote na hand sanitizers madukani, wamehamia kwenye bunduki sasa. ππWamarekani wanakimbilia kununua bunduki kisa Korona....
View attachment 1390570
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Me hadi Hosp naenda
Nimeshakunywa dada, unadaiwa hukuNaam, agiza kinywaji chako pendwa nitalipa.
Eti huwa tunafanyaga nini kuwaepuka? Moana ππUnafanya nini kujizuia na ving'ang'anizi wanaokusumbua sumbua ?
Thanks God πππKhantwe njoo uone data za leo. Wagonjwa 169, 000 duniani kote. Waliofariki 6, 500. Zaidi ya 77, 000 wamepona....
View attachment 1390571
πππDepal leo una moto siyo mchezo,
Una nini leo?
Ujue me nashindwa kuelewa. Si walisema kirusi hakina dawa!! Then how come hao wamepona?Khantwe njoo uone data za leo. Wagonjwa 169, 000 duniani kote. Waliofariki 6, 500. Zaidi ya 77, 000 wamepona....
View attachment 1390571
Utafiti konki, pameeleweka asee. Tena nilielewa kipindi ambacho hata nilikuwa sioni hiyo michapio[emoji23][emoji23][emoji23]si umeelewa ee
Eti huwa tunafanyaga nini kuwaepuka? Moana [emoji3][emoji3]
Ila wanaume muwage waelewa jamani, wengine hatuna lugha chafu basi nikikwambia hapana haiwezekani uelewe. Huwa mnatutesa sana mwisho wa siku naishia kukipiga Block
[emoji3][emoji3][emoji3]
Umeamkaje Moudy?