Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna dr cold huwa inasaidia kupoteza mafua. Ipo vidonge na ya maji piaMafua na panadol?!! Wenzetu mko na kinga nzuri.
Mimi mafua yakinionea huruma week moja.na hapo nishameza chenga chenga, citrizen + madawa yale ya maji.
Panadol sbb ya kichwa, huwa napata homa acha kabisa
Ufe na dawa ipo
Kwani ungefikaje?Anne bhana
Sasa unafikiri kufunga mipaka kungezuia?
Wewe ungependelea uamuzi upiNa ili kuzipa haki zile timu ambazo zimekuwa na msimu bora Ligi Daraja la Kwanza, timu za Leeds na West Brom zipewe nafasi ya kupanda daraja, hii itamaanisha kuwa msimu ujao utakuwa na timu 22 badala ya 20, huku kila timu ikifurahi, japokuwa zile za timu zinazowania nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa zitalia lia tu.
Hiyo iliyotajwa
Coldrill,toff plus na cetrizen pia.Kuna dr cold huwa inasaidia kupoteza mafua. Ipo vidonge na ya maji pia
Nitakuwa wa Kwanza kufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo iliyotajwa
Sijambo ustaadh..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujawahi kumeza hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujambo
Shauri yako
Tafuta toffplusMaji ya moto na chumvi [emoji3][emoji3] sionagi yakisaidia
Kama Mungu Hana njia nyingine ya kuniponya Basi acha nife tuShauri yako
Tumeshakuwa kama watoto wa kambo, ata tukibebwa mgongoni tunanyanyaswa tunasema walotubeba wanataka kutulemaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si unajua tena waafrika tukiamua kuwatupia lawama wazungu kwenye kila kitu
Nitajibu mimi Ni Anne.. maswala ya kupeana mizigo kujieleza siyawezimojawapo ya swali gumu "jieleze wewe ni nani"
Coldrill naona imeanza kunizoea,hio toffplus sijawahi ijaribu,ntaisakaColdrill,toff plus na cetrizen pia.
Hii toffplus Ni siku moja tu mafua yanatoweka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi iendelee bingwa halali apatikaneWewe ungependelea uamuzi upi
Ufe na dawa ipo