moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Khaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Nilikutag mahali
Binafsi sinaga lugha chafu za kuwapa, na huwa sipendi kumkwaza mtu. Naendaga nao mdogo ndo nikiona usumbufu (calls,texts ) vinazidi nakupa tu block.
Ukiwa ile jamii ya wale wanaohisi hela zao zinaweza kuwapa chochote watakacho hawa ndio uwa wanafurahia show.
moudgulf
Haha ndio.Hahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Du hapo kwa wenye hela zao wanaopenda kujinunulishia mapenzi kiaina [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tu nikazie...huu uzi una watoto wa kishua sie maisha magumu ngoja tukae nyuma [emoji3][emoji3] Saint Anne au sio dogo
Nimehisi kuna jambo ila sasa haikua michezo yangu hivyo imekua ngumu kuhitimisha.πππππ
Mbona unaongelea magemu tu hujaona kile kipengele cha Yes or No?
Kama ni hivyo basi hali ni mbaya.ππππ bro mimi ndio ninakabwa hadi penati basi tu hamtaki kuona....
#Assisthutaki
Piriton kwangu haifanyi kitu, ila mama akitumia ye chap tu
Nisaidie tu cha kufanya nipunguze huo usugu.
Sijui niseme ukweli [emoji854]
ππππ tumeelewana kabisa broNimehisi kuna jambo ila sasa haikua michezo yangu hivyo imekua ngumu kuhitimisha.
Wanauliza umri au ni kama yale maswali ya primary ya Yes or No?ππ
ππππππππ dah!Kama ni hivyo basi hali ni mbaya.
#umepakiBasiMzeeπππ