Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro mpaka sasa corona ni tatizo.
Pamoja na takwimu zote za malaria, vita, ukimwi nk, corona ni janga, na tukubali hivyo. Ugonjwa unaosambaa kwa kasi kubwa Duniani kote, shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii, zimesimamishwa, iweje tuudharau.
Corona ni kifo bro
Nikweli bro lakini kwanini unahusisha hii corona moja kwa moja na kifo?
 

Korona siyo kifo. Ugonjwa wenye mortality rate isiyozidi hata asilimia 1 (kwa rate ya sasa) tena kwenye vulnerable population pekee hauwezi kuwa kifo. Kifo kitatokana na watu kupaniki na habari za uwongo zinazoenezwa kila kona 24/7. Social media hizi ni nzuri ila kwenye ishu kama hizi za kitaalamu ambapo kila mtu anajifanya anajua ni shida sana. Sasa huku kuna mistari mirefu kwenye maduka ya kuuza bunduki na risasi kisa eti Korona....

Watu watafute source moja ya habari wanayoiamini (BBC, WHO, The Scientist ...) na wawe wanapata habari muhimu na za kuaminika huko vinginevyo wengi watapata anxiety na hatimaye kuwa depressed bure...



 
Hapo kwenye shughuli za kiuchumi kukwama labda ndio tujikite huko zaidi lakini sio kuihusisha na kifo moja kwa moja bro.....
 
Hapo kwenye shughuli za kiuchumi kukwama labda ndio tujikite huko zaidi lakini sio kuihusisha na kifo moja kwa moja bro.....
Voice of reason...Nakukubali sana.bro.. [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]

Watu wa conspiracy wanasema kuwa huu ulikuwa ni mkakati wa kuidhoofisha China kiuchumi lakini naona unataka kubakifaya....
 
Huyo mzungu shwaini zake, akatoe damu yake awanyonyshe hao mbu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…